PICHA:WAZIRI WA UJENZI JOHN MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAHANDISI MJINI DODOMA

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akiwahutubia Waandisi
130 wakiwemo baadhi ya Naibu Mawaziri, Naibu Makatibu Wakuu, Wabunge na
Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi muda mfupi baada ya kuwaapisha jana.
--
Waziri
wa Ujenzi Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli (Mb) jana amewaapisha jumla ya
Waandisi 130 wakiwemo baadhi ya Naibu Mawaziri, Naibu Makatibu Wakuu,
Wabunge na Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi.
Baadhiya
Viongozi walio apa leo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Dodoma, Bi.
Verynice Kawiche, ni Mhandisi Gerson Lwenge (Mb), Naibu Waziri wa Wizara
ya Ujenzi, Mhandisi Charles Tizeba (Mb), Naibu Waziri wa Uchukuzi,
Mhandisi Mussa Iyombe, Katibu Mkuu waWizara yaUjenzi, Mhandisi Bashiri
Mrindoko, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Joseph Nyamhanga, Naibu
Katibu Mkuu Wizara yaUjenzi.
Viongozi
wengine walio apa ni Katibu Tawala Mkoa wa Katavi, Mbunge wa Kikwajuni
Zanzibar Mhe. Hamadi Massauni, pamoja na Mbunge waTunduru Mashariki Mhe.
RamoMakani
Pia kiapo hicho kitawafanya Wahandisi kufanyakazi kwa maadili bila kuvunja miiko au kulazimishwa kufanyakazi kinyume na maadili.

Baadhi ya Wahandisi viongozi walioapa jana
0 comments: