WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA LEO


PG4A1091Mwenyekiti wa Kamati ya  Kumshauri  Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina  ya Wabunge wa Bunge Maalum la  Katiba kuahirishwa Machi 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A1121Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, James Mbatia kwenye ukumbi wa bunge Mjini Dodoma Machi 7,2014. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/