ANGALIA PICHA ZA MAMBA ALIVYO ZUA BALAA BAADA YA KUINGIA CHINI YA KITANDA HOTELINI
Katika
hali isiyo ya kawaida mamba mkubwa mwenye futi 8 amezua tafrani baada
ya kuingia chini ya kitanda cha Mkurugenzi wa hoteli moja ya kitalii
iitwayo Humani iliyopo pembezoni mwa mto Turgwe huko nchini Zimbabwe na
kukaa zaidi ya masaa 8.
Mr
Whittall, ambaye ni mkurugenzi wa hoteli hiyo alisema kuwa mamba huyo
aliingia kwa siri chumbani kwake na kukaa chini ya kitanda chake usiku
na kugundulika asubuhi ya siku iliyofuata.
0 comments: