UTAFITI !!!!: KUKOSA KIFUNGUA KINYWA ASUBUHI NI MOJA YA SABABU 5 ZA KUUDHURU UBONGO WA BINADAMU.
- Kukosa Kifungua Kinywa asubuhi
Watu wanaokosa kifungua kinywa asubuhi wanapata upungufu wa kiwango cha
sukari kwenye damu. Hii husababisha upungufu wa madini (nutrients)
kwenye ubongo na hatimaye ubongo hudhoofika.
- Kula kupita kiasi:
Inasababisha kukaza kwa misuli au mishipa ya Ubongo na hatimaye hupelekea kudhoofika kwa mfumo wa fahamu.
- Kuvuta Sigara:
Kwenye sigara kuna kitu kinaitwa Nikotini ambayo ndani yake kuna
chembechembe ambazo zina sababisha makunyanzi kwenye ubongo na kisha
kudhoofu.
- Kutumia Sukari nyingi:
Matumizi ya sukari nyingi husababisha matatizo katika mfumo wa unyonyaji
wa Protini na Madini joto mwilini na kusababisha ugonjwa wa Utapiamlo
ambao pia huingilia mfumo wa fahamu
- Kuvuta Hewa chafu:
Ubongo ndio mtumiaji mkubwa wa Oxijeni tunayo ivuta. Unapovuta hewa
chafu unapunguza mgawo wa Oxijeni kwenye Ubongo na hatimaye kupunguza
ufanisi wake
0 comments: