RAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI

Mwndesha mashtaka alitaka Hoeness afungwe jela miaka mitano na nusu kwa kutokana na kupatikana na hatia ya kukwepa kodi.
Mwishowe, jaji wa mahakama iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo akaamuru
mwanasoka huyo wa zamani wa Ujerumani Magharibi atumikie kifungo cha
miaka 3 na miezi sita.
0 comments: