EXCLUSIVE:JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ WARUDIANA TENA, WAONEKANA WAKIPONDA RAHA HUKO TEXAS..

Msanii justin bieber sasa aamua kurudi katika penzi lake la zamani baada
ya kukaa kwa mda mrefu bila kuwa nae sasa aonekana akiwa na Mwanadada
Selena Gomez huko texas wakiponda raha wakati awali Justin bieber
alikanusha kuwa ajarudiana na mwanadada huyo lkn siku chache baadae
aliweza kupost picha ya mwanadada Selena Gomez katika ukrasa wake wa Instagram na kuandika kuwa “most elegant princess in the world”


0 comments: