BREAKING NEWSSSSS, VURUGU ZA WABUNGE ZAVUNJA KIKAO MJINI DODOMA...
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalum la Katiba Ameir Pandu Kicho
amelazimika kuahirisha vikao vya Bunge hilo mapaka saa 10:00 jioni baada
ya kutoa vurugu kubwa ndani ya Ukumbu huo wa Bunge.
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa Bungeni.

0 comments: