MUIGIZAJI WA FILAMU YA TITANIC YUPO BRAZILI NA MELI YA KIFAHARI
ametia fora baada ya kuingia
nchini humo akiwa na meli kubwa ya kifahari aliyokodi kwa safari hiyo,
meli hiyo inamilikiwa na mmiliki wa Manchester City, Mansour bin Zayed
Al Nahyan.
Meli
hiyo imetajwa kuwa na Swimming pool, chumba kikubwa cha mazoezi, jumba
la sinema na ukumbi mkubwa wa mikutano ukiacha mbali vyumba vya kulalala
na sehemu nyingine.
0 comments: