WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab Kawawa wa Viti
Maalum (kushoto), Sylivester Mabumba wa Dole (wapili kushoto), Vita
Kawawa wa Namtumbo na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama
Terry Gbemudu (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 5,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu,
Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments: