MWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR LEO
Stori/Picha: Na Gabriel Ng’osha na Deogratius Mongela
SISTA Cresensia Kapuli aliyepigwa risasi Jumatatu
Juni 23, 2014 maeneo ya Ubungo, River Side na watu wanaosadikiwa kuwa ni
majambazi hatimaye ameagwa katika Parokia ya Makoka, Kibangu jijini
Dar.Mwili wa marehemu umeagwa na umati wa watu wa rika zote wakiwemo viongozi wa dini na serikali. Baada ya kuagwa, mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda jijini Mbeya kwa ajili ya maziko yatakayofanyika Juni 28, 2014.
KALI ZAIDIIII UWIIIII INGIAAA HAPAA UJIONEEE
0 comments: