RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA


Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa
kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa
Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika
Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo
viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

0 comments: