Kupitia account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram,
msanii Ommy Dimpoz aliyeko huko mjini London kwa sasa, akiwa anasimamia
project zake mbalimbali ikiwemo uandaaji wa video yake mpya,ame-post
picha akiwa na mwanadada mmoja hivi mzuri sana,akisema anadhani kuwa
hivi sasa muda wa kuoa umefika, huku akiuliza fans wake kama anajua
kuchagua au la?,kwa kutupia picha akiwa na mwanamke huyo katika pozi
tofauti…
0 comments: