PIGO TENA BONGO MUVI: GEORGE TYSON WA MONALISA AFARIKI DUNIA
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry ‘Monalisa‘,
George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo
la Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Tyson alikuwa ameambatana na watu
kadhaa katika safari hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Monalisa amemlilia Tyson kwa kuweka picha hiyo juu na kuandika maneno yafuatayo:

0 comments: