HUU NDO UKWELI WA MAMBO KATI YA JACKLINE WOLPER NA RAPPER HIT NEY WA MITEGO**wolper afunguka**

Jackline Wolper amefunguka kuhusiana  na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali  wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania  alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo  yasiyo na maana wala source.
Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.
Vibe

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/