YANGA IMECHAPWA MABAO 5-4 , WACHAW WAKE HAWA


DAKIKA 90 zimemalizika Yanga imetupwa nje ya mashindano kwa jumla ya mabao 5-4 baada ya Al Ahly kufunga bao 1-0 na hatimaye sheria ya mikwaju ya penalti kutumika, ambapo Yanga imefungwa penalti 4-2 penalt za Yanga zimefungwa na Nadir Haroub Canavaro,Didier Kavumbagu na  Emanuel Okwi, huku Mbuyu Twite ,Osca Joshua na Said Habanuz wakikosa.
Yanga wakifanya mazoezi kabla ya mechi kuanzaHata hivyo Kipa wa Yanga Deogratias Munishi Dida ameibuka shujaa kwa kuokoa penalti mbili kati ya sitna zilizopigwa na Al Ahly, kwa mtokeo hayo Yanga sasa inarudi Tanzania kusaka Ubingwa ili iweze kurudi mwakani katika Klabu Bingwa Afrika.
Yanga inapaswa kujilaumu kwakukosa nafasi nyingi za wazi ndani ya 90, lakini uzembe wa mabeki wake pia iliwapa Mabingwa hao wa Afrika nafasi ya kupata bao la kuongoza, ingawa hawakuwa katika kiwango kikubwa cha soka ikilingaishwa na soka maridadi iliyochezwa na Yanga katika mechi zoete bili.
Inapigwa mikwaju ya penalti hivi sasa,manahodha wa timu zote mbili wanakwenda kupiga kura.
 Yanga canavaro 1 ,Kavumbagu anafunga 2,Okwi anafunga 3 Osca Joshua anakosa 4 baada ya kipa kuokoa, Bahanuzi Saidi anakosa 5 dida ameokoa penalti mbili. penalti ya sita Mbuyu Twite amekosa
Al Ahly Abdallah Mohamed 2, mahamudi Ibrahim 3, Mohamed Ibrahim anakosa 4, Al Ahly wanakosa penalti ya tano,6 wamepata anafunga. Al Ahly wamesonga mbele kwa jumla ya mabao mbao 5 kwa 4.

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/