WIZI MTUPUU...LADY JAY DEE NAYE YAMKUTA YA ALIKIBA NA DIAMOND FB KWA KALA JEREMIAH FAKE....!!!
Hii
akaunt sio akaunti halisi ya kala Jeremiah na hiki kinachoendelea
katika akaunt hiyo ni wizi tena utapeli mkubwa, Ikiwa kama ww ni
shabiki wa kala Jeremiah hiyo akaunt uta unlike maana imekaa
kuchonganisha na kugombanisha wasanii....
0 comments: