JIONEE JINSI MSANII MREMBO VICTORIA KIMANI ALIVYOWAONJESHA FANS UTAMU WA MAPAJA YAKE YENYE MICHORO YA HENA..!!

Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. 
Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty
Muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..
Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo




0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/