TAZAMA PICHA JINSI ILIVYO FAANA SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA HAPO JANA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM.
Wafanyakazi
wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza
maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini
iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja wa Mwembe Yanga,
wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika
tarehe 8 Machi 2014.
Kutoka
Wizara ya Mambo ya Ndani wakksindikizwa na Bendi ya Polisi wakati wa
maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani iliyofanyika Jana katika
Uwanja wa Mwembe Yanga, Wilayani Temeke Jijini Dar Es Salaam.
Bendi ya
Kikosi cha Kujenga Taifa nao wakiwasindikiza waandamaji katika Kilele
cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jana tarehe 8 Machi 2014
katika Viwanja Vya Mwembe Yanga, Wilayani Temeke, Jijini Dar.
Wadau wa Mfuko wa PPF nao wakiwa katika Maandamano
Mgeni Rasmi
Bi Hawa Ghasia (wa pili kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,
Mh Mecky Sadick na wageni wengine wakiwa tayari kuyapokea maandamano
yaliyofika katika Uwanja wa Mwembe yanga jana wakati wa maadhimisho ya
SIkukuu ya Wanawake Dunia.
Wakazi wa
Temeke wakiwa Juu kushuhudia yaliyokuwa yakiendelea katika Viwanja vya
Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014 katika viwanja hivyo
Magereza nao hawakuwa nyuma
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nao wakishangilia siku ya wanawake duniani
Burudani ikiendelea..
Ungo ukipitishwa...Changia Unachoweza..
Burudani kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Mh Said Mecky Sadick akisakata Rumba
Wadau wa PPF wakiserebuka
Doroth
Kaiyuzi , Kutoka Chama cha Wasioona Akisoma Risala mbele ya Wageni Rasmi
katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika katika Uwanja
wa Mwembe Yanga, Jijini Dar Es Salaam, tarehe 8 Machi 2014
Wakazi
wa Jiji la Dar wakitembelea Mabanda mbalimbali yaliyopo katika uwanja
huo wa Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani
hapo tarehe 8 Machi 2014.Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
0 comments: