MWENYEKITI WA CHADEMA WA KIJIJI CHA TAGAMENDA MKOANI IRINGA ACHOMWA KISU


Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo. Kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wamchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda kwenye kampeini za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga,
 Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda akiwa amelazwa baada ya kushonwa.
 
 Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda Akionyesha jeraha lake maeneo ya kifuani.

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/