TAHADHARI PICHA ZINATISHA...!! MAUAJI YA KUTISHA YAZIDI KUITIKISA KAHAMA......KIKONGWE MWINGINE AUAWA KISA IMANI ZA KISHIRIKINA
Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema,
miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga kuuawa
kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao
kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M)
Shinyanga jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia
watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga....
Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W)
Kahama (M) Shinyanga
0 comments: