PICHA YA SIKU KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA MAMBO YAKO HIVI.
SEHEMU ya waheshimi wakiwa katika ukumbi wa bunge maalum la katiba wakiwasiliana kwa njia ya simu ya mkononi.
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge maalum, kujimejitokeza kwa waheshimiwa hao baadhi yao kutokuwa na nidhamu ya chombo hicho nyeti huku wakosoaji wa masuala ya kisiasa wakieleza kuwa katika vikao hivyo vya bunge kufikia hatua ya kufanishwa na vijiwe vya malumbano na soga za hapa na pale.
0 comments: