MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA


PG4A1491 (2)Wajumbe  wa Bunge  Maalum la Katiba, William Lukuvi  (kulia)  akizungumza , Anna  Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A1533Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi  12, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A1537Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho  akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A1571Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A1618Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba . Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/