ATUPWA MIAKA 10 JELA KWA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WAKATI WANAMTOA MIMBA

Aliyekuwa
tabibu msaidizi wa Dispensari ya Tumaini mjini Singida, (wa mbele)
Godlisten Raymond (37) na mfanyabiashara wa mbuzi na biashara ya kusaga
nafaka (wa tatu mbele) Adamu Shaban Hole (46) mkazi wa kijiji cha
Kitandaa tarafa ya Sepuka wilaya ya Ikungi,wakisindikizwa na askari
polisi kwenda gerezani kuanza kutumikia adhabu ya kila mmoja kifungo cha
miaka 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtoa mimba mwanafunzi na
kusababisha kifo chake
0 comments: