SUAREZ LUIRES APIGWA ADHABU KALI YA MIEZI 4 NA KUILIPA FIFA DOLA 82.190 NA KUTOJISHUHULISHA NA SOKA WALA KUINGIA KATIKA VIWANJA VYA SOKA.



Adhabu hii pia inamaanisha atazikosa Mechi 9 za kwanza za Klabu yake Liverpool za Ligi Kuu England kwa Msimu mpya.
Tukio hili la kumng’ata Meno Chiellini lilitokea Juzi Jumanne kwenye Mechi ya mwisho ya Kundi D la Fainali za Kombe la Dunia ambayo Uruguay iliifunga Italy 1-0 na kutinga Raundi ya Pili ya Mtoano.
0 comments: