Jembe: Luis Suarez ndiye alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu soka nchini England msimu uliopita.

Orodha ya wachezaji 20 ghali zaidi barani Ulaya
Luis
Suarez ameshika nafasi ya tatu katika orodha ya wachezaji wenye thamani
zaidi barani Ulaya kuelekea majira ya usajili wa kiangazi na hii ni
kutokana na ripoti mpya zilizotolewa na kuchapishwa leo ambapo
mshambuliaji huyo wa Liverpool sasa ana thamani ya angalau kuanzia
paundi milioni 79.
Lionel
Messi wa Barcelona ndiye anayeongoza kwa bei yake inayoanzia paundi
milioni 161.6 na nyota wa Real Madrid anashika nafasi ya pili na bei
yake inaanzia puandi milioni 85, na hii imetokana na utafiti uliofanywa
na Swiss-based expert ‘think tank’

Messi hakuwa na msimu mzuri Barcelona, lakini bado ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi
Mchawi: Ronaldo alitajwa mshindi wa Ballon d'Or na alifurahia mafanikio ya UEFA

Eden Hazard ameshika nafasi ya nne.
0 comments: