ANGALIA PICHA MAMIA YA WAKAZI WA MOROGORO WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA MTOTO NASRA(MTOTO WA BOKSI),NA AMEZIKWA JANA
Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa
Waombolezaji wakiwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi.
Mfanyabiashara, Al Saed Omary aliyefanikisha kuleta mwili wa marehemu Nasra kutoka Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiingia katika mabasi ya Abood, kwenda katika maziko.
Mazishi ya mtoto Nasra yaliendelea makaburi ya Kola mkoani Morogoro.
Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog
0 comments: