WAZIRI WA FEDHA ASOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA ZANZIBAR
Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15. Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba ya mapendekezo
ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha
2014-15. Baadhi
ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya
Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu
mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa
Fedha 2014-15 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Bweni
Zanzibar.(Picha na Makame wa Maelezo Zanzibar).
0 comments: