USIOMBEE KUUGUA DENGUE, KIPIMO NI SH50,000

Wakati taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji,
imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria.
imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria.
Ugonjwa
huo unazidi kusambaa jijini Dar es salaam na baadhi ya mikoa, kiasi cha
mamlaka kuagiza mabasi yote yaendayo mikoani yafanyiwe usafi wa
kunyunyizia dawa za kuua wadudu kudhibiti usienee zaidi mikoani.
Pia wananchi wameshauriwa kuvaa nguo ndefu ili kudhibiti mbu wanaoeneza ugonjwa huo mchana tofauti na mbu wa malaria.
Pia wananchi wameshauriwa kuvaa nguo ndefu ili kudhibiti mbu wanaoeneza ugonjwa huo mchana tofauti na mbu wa malaria.
0 comments: