Fashion:Mishono ya vitenge kwa wadada usipitwe na mishono mipya kabisa hii
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na
moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza
sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi
yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze
0 comments: