MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJIJINI DODOMA
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa mwongozo kwa wajumbe wa
Bunge hilo leo mjini Dodoma juu ya kuzingatia yaliyoandikwa katika
taarifa za Kamati mbalimbali za Bunge hilo.
Mjumbe
kutoka Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba Dkt. Hamis
Kigwangalla akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge leo
mjini Dodoma. Wajumbe
wa Bunge Maalum la KatibaTundu Lissu(kushoto) akisalimiana na Profesa
Ibrahim Lipumba (katikati) mara baada ya kikao cha Bunge hilo leo mjini
Dodoma. Kulia ni Mchungaji Peter Msigwa. Mjumbe
kutoka Kamati namba tatu ya Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Peter
Msigwa akiwasilisha maoni ya wachache Kamati hiyo kwenye kikao cha
Bunge leo mjini Dodoma. Mjumbe
kutoka Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu
akiwasilisha maoni ya wachache Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge leo
mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiondoka katika eneo la Bunge leo mjini Dodoma baada ya kikao kuharishwa.
Picha na Bunge Maalum la Katiba
0 comments: