YATAMBUE, BAADHI YA MANENO AMBAYO WASICHANA WENGI HUPENDA KUYASIKIA TOKA WAPENZI WAO!
HABARI ZA WAKATI HUU..!!!
Ni matumaini yangu kua muko salama kabisa na mko maeneo mmejipumzish iwe nyumbani na familia zenu au kitaani...au baa na wadau wengine ilimradi tyuu mnainza poa weekend yenu
leo nimeona nizungumze nanyi jjuu ya haya mambo ambayo wadada wengi hutamani kuyasikia yakitoka midomoni mwa wapenzi wao....baadhi ya mambo hayo ni
~~~ "Najivunia kuwa na wewe" mwambie msichana wako unajisikia raha kuwa na yeye jinsi anavyofanya kazi kwa bidii na kutimiza kila alilopanga. Humfanya kuwa na mori ya kufanya kila analopanga kulifanya.
~~~"nakupenda" wanaume wachache ndio hutambua thamani na nguvu ya kusema neno hili "nakupenda" kwa hisia. Kama ukisema hivyo kwa kumaanisha utamridhisha msichana wako kihisia pia na utaona akisisimuka toka ndani.kumbuka kua useme uku ukiwa na mguso wa ndani...wenye kuhamasisha na kujenga hisia na tabasamu usoni pia.
~~~ "wewe ni mzuri sana kitandani" kumsifia utundu wake kitandani kutamfanya kutambua kuwa amekuridhisha kitandani hivyo kutamfanya aongeze au asipunguze utundu aliokufanyia.na hii inampa hamasa ya kutamani kufanya zaidi ya alichokifanya.
~~~ "siku yako iliendaje" muulize siku yake iliendaje kwa kuwa humfanya ajisikie vizuri hata kama kuna jambo lilimkera.na kwa kufanya hivyo unamfanya ajisikie huru na poa mana anaona umuhimu wa kua na mwanaume unayejua umuhimu wake.
~~~"unajisikiaje/unawaza nini" wasichana hupenda kuelezea hisia zao pale umuulizapo. Ukimuuliza msichana wako hivyo atajiona kuwa unamheshimu na unahitaji kumpa mawazo kama alikuwa akiwaza chochote.
~~~ Wewe ni msichana mzuri kuliko msichana yeyote niliyewahi kumuona" hii humfanya ajisikie vizuri na kujiona fahari hata akiwa mbele ya rafiki zake. Msichana anapendwa kusifiwa na kuonekana anafaa mbele ya mvulana anayempenda.
~~~ "sitaki kuwa na mwingine yeyote" maelezo hayo humfanya ajiamini na kukuamini na kuona kuwa unampenda ataona kuwa huwezi kuishi bila yeye na kujiona kuwa yupo peke yake. Lakini sema hili ukiwa una maanisha kweli.
~~~"una akili" wasichana wanapenda kutoa ushauri kwa mpenzi wake na kuona ushauri ule ni sahihi kwa kumwambia neno hilo. Hupenda kujisikia vizuri ukiapreciate kila anachokushauri.
UKIFANYA HAYA KWA MWANAMKE WAKO UTAKUA UMEFANYA JAMBO KUBWA AMABALO LITAKUJENGEA HESHIMA NA THAMANI KUBWA KWA MPENZIO.....KUMBUKA KUYAZINGATIA HAYA WEWE MWANAUME MWENZANGU! ILI KUJIWEKEA NAFASI KUBWA KWA HUYOOO UMPENDAE!
NIWATAKIE WAKATI NA USIKU MWEMA KWA WOTE NA WALE MAPOPO KAMA MIMI TUENDELEE KUA PAMOJA HUMU NDANI!

0 comments: