YALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE BUNGE MAALUMU LA KATIBA
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde na mbunge wa Moshi
mjini Mhe. Philemon Ndesamburo ambao pia ni wabunge wa bunge maalumu la
katiba wakiagana mara baada ya kuahirishwa kwa semina ya kuandaa kanuni
zitakazo tumiwa wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba mjini Dodoma.
Mhe. Ole Sendeka akichangia mswada wa kanuni zitakazo tumika
wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba jana jioni.
Mhe. James Mapalala akiwelekeza jambo mjumbe
mwenzake kwa kidole wakati wa semina ya kujadili rasimu ya kanuni
zitakazo tumika wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba. Picha na Deusdedit Moshi
0 comments: