MUME WA MTU NAYE SUMU BANA...!! MREMBO AFUMWA LIVE NA MUME WA MTU..ACHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI...!
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
Domo lagu , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa....
Shuhudia picha hapo chini...


0 comments: