LULU AFUNGUKA LIVE KUHUSU FUNUNU ZA KUTESWA NA KANUMBA..
ELIZABETH
Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio
la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.
Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo sipendi sana kuzungumzia haya,” alisema.
0 comments: