LAANA :DUNIA TUNAENDA WAPI JAMANIII ANGALIA PICHA YA KUTISHA
Mwanamke
huyu ameua na kula zaidi ya wasichana 30 na watu wengine wengi pamoja
na mume wake na kuweka nyama zao kwenye friji amekuwa akila nyama za
watu kwa muda mrefu sana.
Mwanamke
huyu mla nyama za watu,alisema alikuwa anaandaa party (sherehe) nyingi
kwa ajili ya marafiki zake na ndugu ambao aliwapikia na kuwalisha nyama
za watu bila wao kujua. Wageni wake walimsifia kuwa chakula chake
kitamu.
Mwanamke
huyo alisema amewala watu hao kutokana kwa kupenda mwenyewe na kama
atapewa nafasi nyingine atarudia tendo hilo tena bila kuingiliwa.
Hata alipofika gerezani ,alimvamia askari wa kike akamng'ata mkono wa kulia na kumeza kidole kimoja cha askari huyo..!!
0 comments: