KAMA ULIKUA HUJUI JUA LEO KUWA KUNYONYANA ULIMI AU KULA MATE KUNAWEZA KUAMBUKIZA VVU?


Swali: Je kunyonyana ulimi au kula
mate kunaweza kuambukiza VVU?


Jibu: Njia ya mdomo inaweza
kuchangia mtu kupata VVU kama
mtu atakutana na mtu mwenye
VVU mwenye vidonda au
michubuko mdomoni nawe pia
ukawa una michubuko au vidonda
mdomoni, ili kuweza kupata VVU
kwa njia ya mate inabidi kulamba

mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/