KAMA MAMA/MWANAMKE UMESHAWAHI KUSIKIA MAMA KAJIFUNGUA MTOTO ALIYEKUFA? JE, UNAFAHAMU INAKUWAJE MPAKA MTOTO ANAFIA TUMBONI SIKU YA KUJIFUNGUA? JIFUNZE
Sio kila mwanamke ana weza kushika mimba. Hivyo basi, pamoja na furaha nyingi na shangwe, pia ni vizuri kama mjamzito wa mimba ya kwanza ama ya sita, kujua vitu mbalimbali juu ya mtoto wako aliyeko tumboni ili kuweza kujifungua salama na mtoto kuwa mzima.
Kuna kitu kinaitwa "STILLBIRTH" na "STILLBORN." Kwa kiswahili kwakweli sijui tafsiri yake ikovipi so mtanisamehe lakini kwa jinsi nitakavyo ongelea hapa hizo aina mbili hapo juu, mtu utaweza kuelewa ninini naongelea.
Anyways, nikianza na StillBirth. Mara nyingi akina mama wengi wajawazito hubeba mimba zao mpaka wanapofikisha wiki 38 wengine hadi 39 kabla ya kujifungua mtoto. Wamama wengi hujifungua salama na kuwa na watoto wa zima na wenye afya njema LAKINI, kuna wanaojifungua halafu wanaambiwa kwamba mtoto alifia tumboni?
Well, tukianza na fafanuzi za "miscarriage/kupoteza mtoto wiki chache baada ya kushika mimba." Hii situation hutokea katika wiki za kwanza 1-12, kama mama kupata miscarriage. Kuanzia wiki 20 hadi kwenda mbele mama akipoteza mtoto ndo inaitwa "STILLBIRTH."
Hivyo basi, kama mjamzito utajuaje mtoto tumboni hali sio nzuri ama ameshakufa? Vigezo ni kama vifuatavyo;
- mama unaweza kugundua mtoto hana movement/hasogei kabisa tumboni (mfano; hapigi mateke)
- unapoenda kwenye regula visits na docta wako na nurse/docta anaposhindwa kusikia mapigo ya moyo ya mtoto tumboni, mara nyingi docta/nurse watafanya ultra sound ili kuweza kuconfirm kwamba kachanga ndo kamesha kufa
Hivyobasi, STILLBORN ndo step inavyofuatia. So, mtoto ameshafia tumboni,
whats next? Well, kinachofuata kama mama bado ana wiki nyingi mpaka
kujifungua basi docta atamshauri mama kuwa induced/kuwekewa dawa za
kufanya njia ya uzazi/cervix ifunguke ili mtoto atolewe.
So, mama
atajifungua kama kawaida ila mtoto atakuwa amekufa. Ila wakati mwingine
kama mama yuko okay na siku chache zimebaki kabla ya kujifungua basi
mama anaweza kushauriwa under docta watch kwamba asubiri mpaka siku yake
ya kujifungua ifike ndo ajifungue kawaida lakini mtoto atakuwa bado
amekufa.
Kwahivyo hizi ni option tuu ambazo ukiangalia well, to a degree
zina-make sense and ila mmh, sijui ni mama gani ataambiwa kwamba
amebeba mtoto aliyekufa tumboni halafu akataka aendelee tuu kuibeba hiyo
mimba.
obviously nikisema kuendelea kuibeba sio mawiki ama mwezi
kwasababu definitely kiafya sidhani kama itakuwa ni vizuri kubeba a dead
thing kwenye mwili.
ila kwa mama ambaye labda anasema aachwe aendelee
kuibeba mimba yake ijapokuwa mtoto amekufa, i think it can be, because
of the shock kwamba mtoto wake amefia tumboni, so mama anaweza kutaka
tuu mda wa ku-greave.
Kitu kimoja kizuri kuhusu kufanya ultra sound ama genetic tests, japo na
machungu mengi, mama anaweza kujua ninini kilichosababishia mtoto kufa
wakati alikwa mzima kwa kipindi kirefu wakati yuko tumboni.
Hivyo hizi
test ambazo mara nyingi zinafanywa kwa kuchukua damu ya mama ama
kumcheki mtoto (aliyekufa), husaidia kuokoa matatizo mengine ambayo
yangeweza kutokea mbeleni kama mama akiamua kushika tena mimba.
Vyanzo vingi vya Stillbirth ni;
- mtoto unakuta anakuwa mno taratibu tumboni mwa mama
- wakati mwingine placenta ya mama hujiachia kutoka kwenye tumbo lililobebea mtoto kabla mama hajajifungua.
- mama mjamzito kupata infections/maambukizi ya magonjwa mengine makubwa/makali wakati bado ni mjamzito
- mtoto akikosa hewa kutoka kwa mama wakati bado yuko tumboni
- vitu kama accidents etc
Ndo maana ukijifungua mtoto mzima na mwenye afya njema, mshukuru mungu kwani a lot can happen in a blink of an eye.
0 comments: