JE, WAZIJUA DALILI ZA ASIYEKUPENDA KWA DHATI?? USIAPATE TABU SHUKA NA MIMI HAPA CHINI.
1: Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu,na inapotokea anabanwa huwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
2: Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleo,kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
3: Anaahirisha mara kwa mara kukutana nawe tena bila kueleza sababu za msingi au hukutungia uongo na kuusisitiza bila kuona aibu.4: Anapokuwa akitoa maelezo ya mwanaume/mwanamke amtakaye,sifa zake zinakuwa hazilingani na wewe.Anaweza kukuambia nampenda mwanaume/mwanamke mwenye mwili mkubwa,sifa ambazo wewe huna.5: Hacheki kwa furaha hata kama ukimchekesha haoneshi furaha ya moyoni.Tena mara nyingine anakuwa mkimya na mshawishi mkubwa wa kuachana kutoka kwenye matembezi yenu jioni."aah me nimechoka narudi nyumbani"6: Hajutii anapokukosea,mwepesi wa kujtenga kutozungumza nawe na mwingi wa kukusukumia makosa hata kama yeye ndiye aliyekukosea.7: Msambazaji wa habari za udhaifu wako na ni mtu asiyekusifia mbele za wanzake.Si balozi mwema kwa familia yake,haishi kukuponda mbele ya wazazi,marafikk na ndugu zake.8: Mwepesi wa kupokea na si kutoa.mmiliki wa mali zako na mkumbatiaji wa mali zake pia.Ni msiri wa mipango yake na mtu anayependa kujua zaidi ya kwako kuliko wewe kujua yake.9: Hathamink uwepo wako na anakuchukulia kama mtu wa akiba.Hakumiss unapokuwa haupo,hahisi upweke wala hakukumbuki unapokuwa mbali naye.10: Hakutii moyo unaposhindwa na mara nyingine hauzuniki nawe unapokuwa una shida.Hachukui huzuni yako kama ni yake,hakufariji na hakusaidii kutatua kilichokwama.11:Hakupi kipaumbele ktk maamuzi,anajiona yeye ndiye wa kwanza na wewe ni mtu wa kufuata hata unapopinga hasitishi dhamira yake ya kutenda.12: Humsisimui ktk mambo ya faragha,anakuchukulia kama ndugu yake.13: Hakuhudumii tendo la ndoa mpaka siku amependa mwenyewe.Ni mwingi wa sababu za kuchoka,kusingizia ugonjwa na mwenye kuhisi kero ya kucheza na wewe mchezo wa kikubwa.14: Hazungumzii maendeleo yenu mwepesi wa kushawishi vilivyopatikana viuzwe ili atimize hitaji lake
**KAMA UNA MPENZI/MKE/MUME MWENYE DALILI HIZO,TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA**

0 comments: