JE UNAJUA ATHARI ZA SIGARA ?? HAYA NDIO MAZARA YA KUVUTA SIGARA , SOMA HAPA
Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako.
Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza utaratibu huu
wakiwa wangali watoto. Wanaoendelea
kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25.
Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa
kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni
mengi na yamesambaa mwilini kote. Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi
yatokanayo na utumiaji wa sigara.
1.Kung’oka kwa nywele
2.Magonjwa ya macho
3.Kukunjana kwa ngozi
4.Magonjwa ya masikio
5.Saratani ya ngozi
6.Magonjwa ya meno
7.Magonjwa ya mapafu
8.Mifupa
9.Ugonjwa
wa moy
10.Vidonda vya tumboni
14.Magonjwa ya ngozi
15,Upungufu wa nguvu za kiume
Je umetumia sigara kwa muda mwingi na ungepeda kutoa sumu hizo mwilini kuepuka madhara hayo? wasiliana na 0715448643 kwa ushauri
1.Kung’oka kwa nywele
2.Magonjwa ya macho
3.Kukunjana kwa ngozi
4.Magonjwa ya masikio
5.Saratani ya ngozi
6.Magonjwa ya meno
7.Magonjwa ya mapafu
8.Mifupa
9.Ugonjwa
wa moy
10.Vidonda vya tumboni
14.Magonjwa ya ngozi
15,Upungufu wa nguvu za kiume
Je umetumia sigara kwa muda mwingi na ungepeda kutoa sumu hizo mwilini kuepuka madhara hayo? wasiliana na 0715448643 kwa ushauri
ANGALIA HAPA BAADHI YA PICHA
Source: Bustani ya habari
0 comments: