HII NAYO KALI KULIKO HATA BANGI WAUMINI WANYWESHA MKOJO WA NG'OMBE, SOMA HAPA HUJUE CHANZO
![]() |

Kwa
mujibu wa Daily Mail, Waumini wa Hindu wanaamini kwamba Ng'ombe ni
mnyama aliyebarikiwa na wanasema mkojo wake unasaidia kuponya vitu
mbalimbali.Japokuwa
wanasisistiza kwamba mkojo wa ng'ombe unaotakiwa kunywewa ni ule wa
ng'ombe bikira - ambaye hajawahi kuzaa. Pia, mkojo unatakiwa kuchukuliwa
kabla ya jua kutoka na hapo ndipo mkojo huo unapokuwa na matokeo
mazuri.Pia wamesema kwamba kunywa mkojo wa ng'ombe ndio njia bora ya kuondoa vipara kwenye kichwa.
Angalia picha hapo chini..
Jairam
Singhal, 42, ambaye amekuwa akinywa mkojo wa ng'ombe kwa zaidi ya
muongo mmoja ametoa ushuhuda juu ya faida za kiafya zinazosababishwa na
mkojo huo::
‘Nilikuwa na kisukari, ila toka nimeanza kunywa mkojo wa ng'ombe,
kiwango cha kisukari nimeweza kukikabili. Mtu mmoja aliniambia kunywa
mkojo wa ng'ombe ni mzuri kwa afya. Tumekuwa na ng'ombe hapa kwa zaidi
ya miaka 12, hivyo kitu cha kwanza kukifanya asubuhi ni kuchukua mkojo
wa ng'ombe na kuunywa.’
Cheki picha zaidi hapo chini...
0 comments: