HATARI INAYO WANYEMELEA WAFANYAKAZI WA MAOFISINI



LEO ngoja niongee kile ambacho nimekuwa nikifundisha ofisi nyingi hasa ninapokutana na wafanyakazi na kuwafundisha juu ya hatari iliyoko mbele yao kiafya.Wafanyakazi wote ambao hutumia kompyuta kama kifaa chao cha kazi kila siku wako kwenye hatari kubwa kiafya baada ya muda flani kama hawatakuwa makini,kama sijapata muda wa kutembelea ofisini kwako au kwenu basi jifunze hapa leo.

Mmoja wa watumiaji wa Komputa mkubwa katika Kampuni ya Japo Investment Network.Kutokana na maendeleo ya teknolojia nchi zote zinazoendelea zimekuwa na kiwango kikubwa cha matumizi ya teknolojia hasa kompyuta,bila kufahamu kuwa watumiaji wote wa kompyuta kwa muda mrefu wapo kwenye hatari kubwa ya kiafya baada ya miaka kadhaa.
 
Hii nikutokana na athari za mionzi ambayo inatambulika kutoka kwenye kifaa hicho, mtumiaji wa kompyuta kwa muda mrefu ni mpokeaji mzuri wa mionzi hiyo,yaani unakuta mtu anakaa kwenye kompyuta asubuhi hadi jion kila siku kwa miaka 5.
 
kwasababu watanzania wengi hatuna elimu ya jinsi ya kujiweka salama basi hichi ndicho kimekuwa kifo chetu,mionzi hii hujikusanya mwilini na kusababisha athari zifuatazo kiafya,
1.Kupoteza kumbukumbu(memory loss)
2.Matatizo ya moyo(cardiovascula desease).
3.Saratani ya kizazi
4.Matatizo ya uzazi
5.Matatizo ya nguvu za kiume( low sperm count)
6.Kukosa usingizi
7.Msongo wa mawazo
8.Uvimbe tumboni.

Mdau wa tovuti ya Habarimpya.com Jane Lema akiwa ofisini kwake jijini Arusha.Matatizo haya huwezi kuyaona kwa muda mfupi lkn chunguza maofisi yote makubwa au watu ambao wamefanya kazi za kutumia kompyuta kwa muda mrefu lazima utakuta anatatizo kati ya hayo.
 
Najua ni vigumu sana kuepuka hilo kwasababu huwezi acha kazi lakini ipo njia sahihi na suluhisho kwa ambao tayali wameshatumia kwa muda mrefu ambayo itakufanya kamwe usije pata madhara hayo hata kama utatumia kompyuta kwa maisha yako yote au uendelee kutumia ili ule uzee ukiugulia maradhi hayo.
 
Kwa msaada au swali piga 0715448643 au unaweza pia tumia watsap.LAKINI PIA KAMA UTAPENDA WAFANYAKAZI WAKO AU WENZAKO KUPATA ELIMU SAHIHI JUU YA KUJIONDOA KWENYE MARADHI HAYO NA KUTOPATA MADHARA HAYO WAWEZA WASILIANA NAMIMI NIKAJUA JINSI NITAKAVYOWEZA WATEMBELEA HAKUNA MALIPO.

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/