HAKUTAKUWA NA HOTUBA YOYOTE KWENYE SHEREHE ZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA ZITAKAZOFANYIKA BRAZIL 2014
Sepp Blatter (kushoto) na Dilma Rousseff (kulia) walizomewa na mashabiki katika mechi ya Brazil vs Japan, June mwaka jana
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza kuwa hakutakuwa na hotuba
yoyote kwenye sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia nchini Brazil mwezi
June mwaka huu.
Mwaka jana, Rais wa Brazil, Dilma Rousseff alizomewa na mashabiki kwenye ufunguzi mechi ya ufunguzi ya Confederations Cup.
Waandamaji
waliingia mtaani kwenye majiji ya Brazil muda mfupi kabla ya kombe hilo
June 2013 kupinga vitendo vya rushwa na gharama kubwa za maandalizi ya
kombe la dunia na mashindano Olympics yatakayofanyika, Rio de Janeiro.
0 comments: