BREAKING NEWSS: WAFANYABIASHARA YA MADINI YA MCHANGA,KOKOTO NA MAWE WAANDAMANA MPAKA KWA MKURUGEZI WA JIJI LA MBEYA
Wafanyabiashara
ya Madini ya mchanga,kokoto na mawe Jiji la Mbeya wameandamana kwenda
ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kwa kutumia maroli kupinga waraka wa Wizara
ya Nishati na Madini unaowataka watumiaji wa bidhaa hiyo kulipia
shilingi elfu mbili mia tano kuanzia Machi 3 mwaka huu. Habari na Joseph
Mwaisango
Habari kamili itawaijia hivi punde
0 comments: