BREAKING NEWS: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI BAADA YA KUNYWA SUMU SABABU IKIELEZWA NI BAADA YA KUDISKO





Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe ambaye alikuwa anachukua (MASTERS) Msc.Economics ambae pia ni alikuwa akifanya kazi mkoani dodoma kama afisa mipango wa wilaya ya kondoa amekunywa sumu jana na amefariki dunia leo asubuhi sababu ikielezwa kuwa ni baada ya kupata matokeo na kujikuta ameferi ( amedisko ).

Mazishi ya yanatarajiwa kufanyika kufanyika kwao mkoani Njombe !!!!
Jina na picha tutawaletea baadaye..... usicheze mbali !!!

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/