BAADA YA KUDAIWA KUWA WEMA NA DIAMOND WAGOMBANA ,WEMA APOST UJUMBE HUU ... SOMA KUJUA ZAIDI
Baada ya kudaiwa kuwa wamegombana Wema ameposti ujumbe huu kuashiria hawajaachana na Diamond.
Wema ameamua kujibu
mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani
na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito ” Da love
of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu
wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus
it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu….
Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd
dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all…
With all due respect stop ”
0 comments: