MAAJABU! TAZAMA MAPACHA HAWA WALIOZALIWA WAMEUNGANA HADI SASA NI WATU WAZIMA!!




Wakati Maureen Galyon akitarajia kujifungua mwaka 1951, hakujua kama angepata watoto wawili. Hakufikiria kama angepata mapacha walioungana. Alipata mshituko kupata mapacha walioungana (Donnie & Ronnie) lakini ameweza kuishi nao kwa upendo hadi leo ni watu wazima.
                      


0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/