ANGALIA PICHA ZAIDI AJALI YA BASI ILIYOUWA WATU 17



Basi la  Morobest lenye na namba za usajili T 258AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori
  na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwendaDar es salaam


Basi la  Morobest lenye na namba za usajili T 258 AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili
Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwendaDar es salaam


Lori lenye namba za usajili T 820 CKU na tela yenye namba za usajili T
390 CKT liliokuwa likiendeshwa na Dereva wake Gilbart Lemanya na Tingo
wake Mikidadi Zubery Omary  ambao wote walifariki papo hapo
linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Morobest
katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa  Mkoani Dodoma na

0 comments:

Copyright © 2013. MSANGIBIN ALLY - All Rights Reserved
Customized by: MSANGIYUSUPHALY | Powered by: KIINICHAHABARI
Designed by: http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/