
Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua
mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za
kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye
mwaka huu.
Kwa taarifa zaidi tazama video hii hapa chini
0 comments: