HOME
HABARI
MICHEZO
TANGAZA NASI
PICHA
SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Gym hiyo Ndg. Omar Ige
Muonekano wa Jengo litakalo na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika GYM ya Bunge baada ya kuizindua rasmi katika viawanja vya Bunge. Kulia ni mfanyakazi wa GYM hiyo Ndg. Ekarist Liheta akitoa maelezo kwa Mhe. Spika
Spika akipima uzito kabla ya kujisajiri katika GYM hyo leo
Mkurugenzi wa GYM hiyo Ndg. Omar Ige akimkabidhi Mhe. Spika vifaa vya mazoezi tayari kwa kuanza mazoezi
Meneja wa GYM hiyo Bi. Suzan akitoa neno la Shukrani kwa uongozi wa Bunge pamoja na Spika baada ya Ufunguzi rasmi.
Picha kwa hisani ya Bunge
0 comments:
Newer Post
Home
Older Post
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MPYA KALI
MZUNGU ALIYEDAIWA KUTUPA MKATE MANISPAA YA MOSHI AZUA MAKUBWA KWA ASKARI, TAZAMA PICHA HIZI
Baada ya kuzunguka kwa muda mrefu raia huyu wa kigeni ambaye haikufahamika mara moja anatoka nchi gani aliketi katik...
WIMBI LA KUIBIWA PASSWORD ZA FACEBOOK ACCOUNTS NA KUTUMIKA KATIKA UTAPELI LASHIKA KASI, SOMA HAPA USIJE IBIWA
Jamani kuweni makini na Accounts zenu za Facebook kwani siku hizi kumeibuka mtindo wa wezi wa mitandao ambao wana iba passwords za Face...
UNGANA NASI HAPA
TUFATE HAPA MDAU
UNGANA NASI HAPA
WALIO TUTEMBELEA
Follow this blog
TUFATE PIA HAPA
UNGANA NASI HAPA
TUFATE HAPA MDAU
ZILIZOSOMWA SANAA
MZUNGU ALIYEDAIWA KUTUPA MKATE MANISPAA YA MOSHI AZUA MAKUBWA KWA ASKARI, TAZAMA PICHA HIZI
WIMBI LA KUIBIWA PASSWORD ZA FACEBOOK ACCOUNTS NA KUTUMIKA KATIKA UTAPELI LASHIKA KASI, SOMA HAPA USIJE IBIWA
USISAHAU KUTU LIKE PAGE YETU HAPA MDAU WANGU WA UKWELI GONGA LIKE
×
+Get this at
whisperNaija
Live Traffic Stats
Copyright © 2013.
MSANGI
BIN
ALLY
- All Rights Reserved
Customized by:
MSANGI
YUSUPHALY
|
Powered by:
KIINICHAHABARI
Designed by:
http://kiinichahabaribongo1.blogspot.com/
0 comments: