KIJANA ATESEKA MIAKA 4, HAKIKA ANAHITAJI MSAADA
TAARIFA EXCLUSIVE : HAMISA MOBETO KUVISHWA PETE YA UCHUMBA ... HABARI KAMILI SOMA HAPA
MEGAWATI 150 KUONGEZEKA KATIKA GRIDI YA TAIFA
VIONGOZI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WATOA TAMKO LA LAO KUHUSU WITO ULIOTOLEWA NA VIONGOZI WA DINI KUWATAKA WAREJEE BUNGENI
RAIS WA BARACK OBAMA ANUSURIKA KUBURUZWA MAHAKAMANI.
WEEK END HIYOO.....TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA LULU BATANI
MMMM TAZAMA HAPA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU WALIVYOTUPIA HAPA KI NYAMWENZI
MSANII MWINGINE KUTOKA TANZANIA AKAMATWA NCHINI CHINA
ANGALIA PICHA ZAIDI AJALI YA BASI ILIYOUWA WATU 17
Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!.Chanzo GPL